Pages - Menu

Sunday, September 30

ILIKUWA NI SHANGWE NA BURUDANI TOSHA KWA KIJANA KUPATA KIPAIMARA. HII NI SEHEMU TU YA MATUKIO..

Hongera kwa kijana Francis kupata Kipaimara
Raim na Imacy4

Mama akiwa katika meza ya chakula

Kijana akijiandaa kuikata keki

Akiwa na dada yake 

AAAAHhhhhhhhh na mimi sikuwa mbali, nilihakikisha naipata keki ile.

No comments:

Post a Comment