PAMOJA LINK.
Pamoja link na blog maalum kwa ajili ya habari mbalimbali, mambo
yanayotuunganisha kijamii kama michezo, muziki, mahusiano na kushauriana katika
mengi yanayotugusa kama watu wamoja na taifa moja, ikiwa na dhamira kuu ya
kuhabarisha, kupeana maarifa mbalimbali na pia kuweza kupata mikizi na video
mbalimbali za wasanii wa ndani Tanzania na nchi nyingine.
Pia tutahabarishana kuhusiana na filamu hususani kwa wapenzi
wa filamu za nje. Zaidi tutapata filamu mpya na kujua lini zinatoka na namna
gani waweza zipata. Pia kuweza pata trailers za hizo filamu.
Kwa mwenye habari, tangazo, ama taarifa yoyote ambayo
angependa iwafikie watu basi tuma kwa kupitia e-mail chonyae@gmail.com.
Pia kwa wasanii wenye nyimbo zao waweza zituma kupitia e-mail hiyo
hapo juu na zitawekwa kwa blog na pia atakayetuma basi aweke na picha na
taarifa kamili za wimbo husika, itakuwa vema pia.
Kwa mawasiliani zaidi : +255763-494 143, +255685-280 496.
0 comments:
Post a Comment