Rita ana sifa nyingi nzuri -- ni mwerevu, ana kipaji na ana mpenzi wa muda mrefu. Anategemea kumaliza elimu ya Sekondari muda mfupi ujao na ana mpango wa kujiunga na Chuo Kikuu. Akiwa na miaka 16, inaonekana kuwa maisha yake yanamuendea vizuri sana -- hadi pale anapogundua kuwa ni mjamzito. Matokeo yake ni ya kushangaza.
Monday, April 22
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment