Steps for the Future Presents: The Sky In Her Eyes (Kiswahili)
Filamu hii fupi ya kugusa moyo, inaonyesha jinsi msichana mdogo kijijini KwaZulu Natal anavyojitahidi kukabiliana na msiba na kujihisi kwake kuchanganyikiwa baada ya kufariki kwa mama yake kwa ugonjwa wa UKIMWI. Pale mvulana fulani anapomruhusu huyo msichana kuambatanisha picha ya mama yake aliyeichora kwenye kishada, kitendo hiki cha urafiki kinamfanya msichana huyo atabasamu.
0 comments:
Post a Comment