Steps for the Future Presents: A Red Ribbon Around My House (Kiswahili)
Mama na binti yake wanakorofishana kwa sababu ya mitazamo yao tofauti kuhusu VVU/UKIMWI. Pinky, mchangamfu na machachari, huwa anawaambia watu waziwazi kuwa ameathirika na virusi vya UKIMWI. Lakini binti yake, Ntombi, anapenda kuwa kama watu wengine. Wanawake hawa wawili wanatofautiana, lakini Pinky anataka kuishi kwa matumaini na hamuombi mtu radhi kwa hilo, maana kuishi ndo jambo analolifanya vizuri kuliko jambo lolote lingine.
0 comments:
Post a Comment