Tuesday, May 28

On 8:47 AM
MSANII WA HIP HOP TANZANIA ALBERT MANGWAIR KATUTOKA LEO, ALIKUWA HUKO AFRIKA YA KUSINI AKIWA KATIKA MAANDALIZI YA KURUDI NYUMBAN I TANZANIA.
Ngwair alikuwa mwakilishi mzuri sana kutoka kundi la chamber squard akiwa na kina Dark Master, Noorah na wengine kibao. naamini ameacha pengo kubwa sana kwa wanachamber wote na hususani wapenzi wa mziki wake. 
TUMUOMBEE KWA MUNGU ALAZWE MAHALA PEMA PEPONI

 NA HIZI NI BAADHI YA NGOMA ALIZOFANYA NA KUBAMBA SANA....!



0 comments:

Post a Comment