Tuesday, May 28

On 3:17 PM

Habari ambazo tunaendelea kuzipata ni kwamba kifo cha Msanii Albert Mangwair ni Madawa ya kulevya ambayo walijidunga kizidi kiasi na kusababisha hatima ya maisha yake. 
alikuwa Afrika ya kusini na msanii M To the P ambae naye kakutwa na hali sio nzuri ambapo ilibidi nae awahishwe hospitali kwa matibabu. 

0 comments:

Post a Comment