ILIKUWA NI SIKU NZURI SANA KWA WAHITIMU WA VITIVO VYOTE VYA UDOM KATIKA MAHAFALI YAO YA KIDINI ILIYOFANYIKA KATIKA KITIVO CHA HUMANITIES.
MPENDWA WETU DADA GAUDENSIA MKUMBWA ANAPENDA KUTOA SHUKRANI KWA WOTE WALIOSHIRIKI KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUFANIKISHA SHEREHE HIYO. HAWA NI BAADHI TU YA WALIOSHIRIKIANA NAE
Hapa ni yeye mwenyewe GAUDENSIA MKUMBWA
hivi ndivyo meza kuu ilivyokuwa, na hapa ni wakati mwali (keki) ilipokuwa iliandaliwa tayari kwa ufunguzi rasmi wa sherehe hiyo.
akiwa makini kutazama nini kinaendelea ili kisimpite hata kimoja
ilimbidi kufurahi tu mda wote kwani ndiyo karama aliyonayo ya kuwa na furaha mda wote.
Shukrani nyingi sana kwa Mr. P. Kamugisha na Mr. Eliakana ambae naye alikuwa ni mmoja wa wahitimu
wakati alkipokea cheti chake.
Ndugu jamaa na marafiki waliofika kumpongeza
Dada mtu akimpongeza mdogo wake katika mahafali hayo
Hapa ni mama mdogo kutoka kushoto na kulia ni dada mtu na yeye mwenyewe akiwa katikati
HONGERA SANA NA MUNGU AKUJALIE MAISHA MEMA HUKO UENDAKO KWANI SAFARI YA MAISHA HAINA MWISHO LAKINI INA VITUO VINGI ZAIDI YA VYA DALADALA.
waooohhh we are appreciating all those who participated fully at this concert
ReplyDeletei am delighted honestly to be part and parcel of this concert
ReplyDelete