Sunday, July 14

On 8:29 AM
Ni pigo kubwa sana kwa wale wanaofuatilia tamthilia ya Glee. Star huyo aliyekuwa aliyekuwa anafahamika kwa jina la Finn Hudson katika tamthilia hiyo akiwa na umri wa miaka 31, amekutwa kafariki  katika hotel ya Fairmont Pacific Rim huko Vancouver, British Columbia. 
Polisi waliofika katika hotel jiyo, wameripoti kuwa hapakuwa na mchezo wowote mchafu aliofanyiwa, ikisadikiwa kuwa ni kifo cha kawaida tu, na ikisadikiwa kuwa alikuwa peke yake chumbani humo katika hoteli hiyo.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI. Amina.

0 comments:

Post a Comment