Sasa Mayocoo imevaa muonekano mpya ikiwa na vitu vingi zaidi na imeboreshwa kwa kiwango kikubwa zaidi. Hivi ni namna tu ya baadhi ya namna ilivyo kwa sasa.
Hapa kama panavyoonekana na ndipo panapotumika kutengeneza akaunti mpya ama kuingia ndani kama tayari una akaunti ya Mayocoo.
SIGN UP kutengeneza akaunti mpya.
SIGN IN kuingia kama tayari umeshajiunga
Hapa ni ukuta unaotumika kuweka chochote unachotaka kushiriki nacho na watu wengine. waweza weka maneno, picha ama picha zisizo za mnato. (animated pictures)
Hii ni namna akaunti ya mtu inavyoonekana na taarifa zake zote zinapatikana hapa.
hapa utawaona marafiki na watu ambao unaweza kuwa unawafahamu na ukawaongeza katika idadi ya marafiki ulio nao.
kulia inakuonyesha watu walio online mda huo na walio offline pia.
hapa utaweza kuona idadi ya mail ulizotumiwa, notifications na pia kufanya marekebisho katika akaunti yako na pia kutazama akaunti yako.
KARIBU MAYOCOO
Jiunge sasa hapa http://www.mayocoo.com/login/
0 comments:
Post a Comment