Tamthilia hii ambayo ni ya vichekesho inayoshirikisha watu kama
Cedric the Entertainer.... kwa jina la Rev. Boyce "The Voice" Ballentine
Niecy Nash.................... kama Lolli
Jazz Raycole.................. kama Lyric
John Beasley................. kama Barton na
Wesley Jonathan............ kama Stamps
itaanza onyeshwa leo usiku na mapema kesho kwa wale wanaitazama baada ya kuidownload itakuwa hapa pamoja link kwa episode zinazoendelea.
0 comments:
Post a Comment