Saturday, September 29

On 3:48 PM
Kila siku sheria kali za barabarani zinawekwa na pia kunakuwa na askari wa barabarani katika vituo vingi, lakini bado hali hairidhishi kwamba kuna mafanikio. Ajali hii nimeikuta katika check point ya kuingia Makambako ambapo ni mahala hapo hapo pana Askari, sasa nashindwa kuelewa tataizo hasa ni nini. 



0 comments:

Post a Comment