Thursday, February 21

On 2:26 PM
Pata kusikia kazi mpya kutoka kwa Kad Go wimbo unakwenda kwa jina la THE VOICE. Kazi nzima ni kutoka   pale M Lab
Kad Go akiwa tayari na Mixtape yake ya kwanza iliingia sokoni tangu mwka jana december. 
ni kichwa mahiri sana toka TAMADUNI MUSIC. 

0 comments:

Post a Comment