Monday, March 4

On 10:38 AM
IKIWA NI MAANDALIZI YA KAZI MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA WAKILISHA, AMBAYO ILIKUWA IFANYIKE MAPEMA JUMAMOSI ILIYOPITA LAKINI TOKANA NA SABABU ZILIZOKUWA NJE YA UWEZO WETU KAZI HIYO IMEAHIRISHWA MPAKA MAMBO YAPATE KUWA SAWA

Producer Roq akiwa tayari amesha andaa beat kamili, tunangoja mambo yake sawa kisha kazi ipate kufanyika 
 Akiwakilisha kundi la Punch Niggaz anakwenda kwa jina la Punch Master. 

Kutoka kushoto ni Zizzo punch, One wish Mide Punch na Punch Master 

Producer Roq akiwa mtamboni 

Imacy4......

Kikubwa kaa tayari kwa ngoma hiyo, mara ikiwa tayari itakufikia hapa hapa 
PAMOJA LINK -- YARD OF INTERTAINMENTS

0 comments:

Post a Comment