Thursday, May 30

On 8:28 PM


Ni Wimbo Maalum ulioandaliwa na Mswaki akitumia Beat ambayo marehemu albert Mangwea aliichagua kwa ajli ya kufanyia nyimbo lakini kwa bahati mbaya akafariki kabla ya nyimbo hiyo kutengenezwa. 
Ukiisikiliza ni kama Albert Mwenyewe anaimba lakini si yeye bali ni Mswaki.

0 comments:

Post a Comment