Wednesday, August 28

On 11:35 PM


Fahamu maisha ya Lady Jaydee. Kwenye video. Mwanamuziki maarufu kutoka Tanzania. Lady Jaydee anawatembeza nyumbani kwake kutoka chumba chake cha kuvalia kuelekea kwenye picha zake za tuzo. Pata nyuma ya pazia ya maisha yake.

0 comments:

Post a Comment