Wednesday, August 14

On 1:01 PM

Sultan.wa.pwani ni msanii kutoka Mombasa mwenye uwezo kwa kuimba na kurap
vilevile;Nafanya kazi zangu kwa producer mobiz wa thundersound
records."SIMBA." Ndio jina la nyimbo hii,ikiwa ni track yangu ya pili
ambayo nimerap,baada ya ile ya kwanza "My president."
Sitaki kero,katafunua,Nakupenda sana na Anavyonijali, hizo ndio nyimbo
ambazo nimeimba. Lakini nimeamua kidogo kurap na yote ni katika kuonyesha
kipaji changu. "SULTAN.WA.PWANI-SIMBA." Skiliza hiyo,natumai utaipenda.
Shukran za dhati.


0 comments:

Post a Comment