Wednesday, October 23

On 2:11 AM
Apple wametoa version mpya, iOS 7.0.3 ikiwa imeboreshwa vitu kama iCloud Keychain, ambayo inasaidia kuweka passwords kwenye browser ya safari na hata pia kwa taarifa za credit card yako kuwa inahusishwa na iPhone, iPad, and Mac ambayo ina OS ya X Mavericks. 


Hiyo ni moja ya mambo yaliyoboreshwa na kingine ni zile motion za kufungua na kufunga folder ambalo umeweka applications zako. 
Bofya hapo chini kusoma zaidi....!

0 comments:

Post a Comment