Tuesday, October 22

On 7:40 AM
Sir Nature kaachia ngoma mpya inaitwa DOGO.  Kwa jamii tuna vijana kama hawa na kaona isiwe shida  saaana bora afikishe ujumbe kw wahusika. Yaweza kuwa wewe ama jirani yako ama mwanao ama upo nao kitaani. Ujumbe umefika so fanya kama unawafikishia na hao wengine wasipenda badilika.

Sikia nyimbo yenyewe hapo chini.


Hii huleta raha sana anapokuwa kwa kazi kama hivi


0 comments:

Post a Comment