Wednesday, October 16

On 11:34 PM
PAMOJA LINK IMERUDI KAMA KAWAIDA LAKINI BADO INAENDELEA NA MAREKEBISHO.
Ikiwa ni wiki ya pili tangu blog yetu kuwa kimya kwa sababu za kiufundi,  sasa pamoja link itaendelea na kutoa habari mbalimbali za burudani za ndani na nje. 
Tukumbuke kuwa blog hii inajihusisha na mambo ya burudani kama Muziki, tamthilia za ndani na nje, movies na taarifa zozote muhimu za kijamii.
Kwa sasa bado inaendelea na marekebisho hivyo usishangae mda unaendelea kuperuzi inakuwa inabadilikabadilika ama kuna tatizo unaletewa. 
Asanteni na tuko pamoja.
Kama unaona kuna tatizo lolote, ama ushauri basi tuwasiliane kwa:
0763494143
imacy4@yahoo.com
Whatsapp 0713169117
Ama waweza acha ujumbe wako katika page yetu ya facebook

https://www.facebook.com/pages/Pamoja-link/557304757635310

0 comments:

Post a Comment