Sunday, October 20

On 2:35 PM
Pichani ni mtangazaji Julius Nyaisanga ambaye kwa sasa hatunaye tena duniani. 
Kwa habari kamili tazama video hapo chini.


Mtangazaji nguli wa siku nyingi, Julius Nyaisanga, amefariki dunia katika hospitali ya Mazimbu, inayomilikiwa na chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, SUA, alikokuwa amelazwa kwa matibabu, akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari.

0 comments:

Post a Comment