Monday, October 7

On 11:20 PM

Pamoja link inaomba radhi kwa kuwa kimya kwa kitambo kidogo tokana na kazi inayotarajia kuanza mapema wiki ijayo ya kuitengeneza na upya. hivyo kwa sasa itakuwa inapatikana lakini hakutakuwa na habari zozote mpya mpaka hapo itakamilika kufanyiwa marekebisho. 

Kwa kipindi cha mwaka mmoja ilikuwa katika majaribio na sasa itaanza rasmi kwa kuwa na habari mbalimbali zaidi ya muziki na movies.  

Tunawashukuru watu wote kwa kutoa maoni na kutoa ushikiriano kwa namna moja ama nyingine.

ONE LOVE.


0 comments:

Post a Comment