Monday, November 18

On 11:46 PM


Rapper Ambwene Yesaya aka AY ambaye mwaka huu anawania vipengele viwili kwenye tuzo za Channel 0, CHOAMVA 2013, jana aliibariki safari yake ya kwenda kuhudhuria tuzo hizo nchini Afrika Kusini mwezi huu kwa show kali ya Road 2 CHOAMVA. Kwenye show hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Club Bilicanas jijini Dar es Salaam, AY alisindikizwa na wakali wengine wakiwemo Fid Q, Ommy Dimpoz, Stereo, Vanessa Mdee Godzilla na Young Suma. Hizi ni picha za show hiyo.

0 comments:

Post a Comment