Friday, June 6

On 3:56 PM


Msanii toka Arusha anayetamba na ngoma inayoitwa maridadi, Bee Man anaangusha show ya pamoja na Wyre pande za Arusha katika ukumbi wa Triple A. 
Show hiyo inafanyika jumamosi ya tarehe 5 mwezi wa SABA. 

Taarifa zaidi zitaendelea tolewa hapa hapa pamojalink na pia kwenye facebook page yetu ipo kwa jina hili hili la pamoja link. 
Bee man, nyimbo yake ya Maridadi tayari inapatikana. Kwa ambaye hajaipata bado.. Check hapa chini. 


#Pamoja.

0 comments:

Post a Comment