Ni hadithiya watoto wawili wanaolazimika kuingia katika ulimwengu wa watu wazima kwa ghafla. Ni hadithi ya mapenzi katika wakati wa msiba.
Tamari na Itai wanajikuta katika maisha magumu paple wazazi wao wanapofariki. Ndugu na majirani hawawajali, na watoto wanabaki bila msaada. Akiwa wamechanganyikiwa Itai anaamua kujaribu maisha mjini, anamwacha Tamari kijijini kuwaangalia wadogo zake. Kwa watoto huu ni wakati wa hofu kubwa na mapambano ya kuiona kesho. Kwa watu wanaowazunguka inawapa changamoto. Hatimae ni msiba unaounganisha makundi haya mawili na kuifanya jamii kuzinduka na kuelewa kuwa hawa ni watoto wa jamii
0 comments:
Post a Comment