Friday, October 24

On 5:24 AM

Imacy4 kuachia ngoma mpya hivi karibuni iliyofanyika pande za Arusha akiwa kashirikiana na wasanii kama Barro, GmG na Bester wote wa Arusha. 
Beat imesukwa na Roq na sauti na mixing zimefanywa na Barro.
Kaa tayari kwa nyimbo hiyo na kwa wanaoipata East Africa Radio Leo Tar 24 October 2014 nyimbo hiyo itatambulishwa mida ya saa kumi. kwenye blogs na social network itaingia Wiki ijayo.
KAA TAYARI COZ NI HATAREEEE......! 


0 comments:

Post a Comment