Wednesday, July 2

On 12:07 AM

Utengenezaji wa tamthilia ya The walking dead mzimu wa 5 unaendelea huko Georgia na sasa kwa wapenzi watazamaji wa tamthilia hii wanaweza kuona baadhi ya sehemu zilizo tayari kwa kuona ilivyo nyuma ya pazia. 
Tazama video hapa chini kuona mwenyewe.0 comments:

Post a Comment