Tuesday, July 1

On 11:54 PM
Mwimbaji  Khloe Kardashian has kafunguka kuhusiana na haja ya kupata mtoto, kwa kipindi alichokuwa na mme wake Lamar Odom katika kipindi chao cha furaha na maisha poa.
Tangu wapeane talaka mwaka 2013 mwezi wa 12, Khloe mwenye miaka 30 amekuwa akitoka na beoyfriend wake mpya kwa sasa French Montana.


Ingawa amekuwa na wakati mzuri katika mahusiano yake ya sasa, hana mpango wa kupata ujauzito na French Montana

Khloe anasema hata hathubutu kujaribu kupata mtoto na Montana. alishajaribu sana kipindi yupo na mme wake wa zamani Lamar Odom, lakini ilikuwa na magumu mengi kuweza kupata mtoto kwa kipindi hicho. 
Kwa hiyo suala la kupata mtoto akiwa na French Montana halipo kabisa kwa akili yake


0 comments:

Post a Comment