Tuesday, July 1

On 11:31 PM


Baada ya kitambo sana sasa karudi tena na kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye WWE's Monday Night Raw . Chris Jericho aka Y2J aka The Ayatollah of Rock and Roll karudi baada ya kutoonekana tangu mwaka jana mwezi wa saba.
Chriss alitokea wakati The Miz akijinadi kuwa naye karudi na kakimbia Hollywood kwa kuwa thamani yake ipo WWE na sio kuwa hollywood superstar. 
haikuishia hapo baada ya The Wyatt Family kumvamia Chriss Jericho na kumpiga vya kutosha. 



Hii inaashiria kutakuwa na vita kali kati ya Chriss na The Wyatt Famill, na wataheadlines sana kwenye program kubwa ya SUMMER SLAM tarehe 17 mwezi wa 8. 
Hii itaambana na bifu nzito kama za  John Cena vs. Brock Lesnar kwa kwa WWE World Heavyweight Championship, Roman Reigns vs. Randy Orton and Stephanie McMahon vs. Brie Bella.

0 comments:

Post a Comment